• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii

Idara ya Maendeleo ya Jamii ni Miongoni mwa Idara 13 zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema. Idara ina Jumla ya Vitengo 06 ambavyo ni:- Wanawake, Jinsia na Watoto, Kitengo cha Maendeleo ya Vijana, Kitengo cha UKIMWI, Kitengo cha Ustawi wa Jamii, Kitengo cha Utafiti, Takwimu na Mipango na Kitengo cha Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Majukumu ya Vitengo hivyo ni kama ifuatavyo:-

Kitengo cha Wanawake, Jinsia na Watoto:-                                                       

  • Kuratibu na kusimamia Maendeleo ya Jinsia na Uingizaji wa masuala ya Jinsia katika Sera za Sekta mbalimbali.
  • Kuwawezesha Wanawake kiuchumi kwa kuwapatia Mikopo yenye masharti nafuu na Mafunzo ya Ujasiriamali.
  • Kuwezesha watoto kupata haki zao za msingi kwa mujibu wa katiba wa nchi.

Kitengo cha Vijana:-

  • Kuhamasisha Jamii hasusani kundi la Vijana kuondokana na matumizi ya Madawa ya Kulevya.
  • Kuhamasisha Vijana kuwa na shughuli endelevu hasa za kujiajiri kwa ustawi kwa maisha yao.
  • Kuwawezesha Vijana kiuchumi kwa kuwapatia Mikopo yenye masharti nafuu na Mafunzo ya Ujasiriamali.

Kitengo cha UKIMWI:-

  • Kuratibu shughuli zote za kudhibiti UKIMWI katika Halmashauri kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kama vile Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali (NGOs), Vikundi vya Kijamii (CBOs) na Mashirika ya Kidini (FBOs) zinazojishughulisha na mapambano dhidi ya UKIMWI.

Kitengo cha Ustawi wa Jamii:-

  • Kutoa huduma na kusimamia shughuli za Ustawi wa Familia na Watoto
  • Kuratibu na kusimamia mienendo ya Kesi/Mashauri mahakamani kwa watoto na watu wazima.
  • Kutoa huduma kwa makundi maalumu yaliyopo katika Jamii.

Kitengo cha Utafiti, Takwimu na Mipango:-

  • Kubaini matatizo yanayokwamisha Maendeleo ya Jamii na kubuni njia sahihi za kukabiliana na matatizo hayo.
  • Kuandaa na kutunza Takwimu mbalimbali zinazohusiana na makundi mbalimbali yaliyopo katika Jamii.
  • Kuandaa Mipango ya Utekelezaji wa Shughuli za Idara
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Idara na kuziwasilisha katika mamlaka husika.

Kitengo cha TASAF:-

  • Kuwawezesha wananchi kiuchumi, hasa watu masikini na waishio katika mazingira magumu kuongeza kipato chao na hivyo kuondokana na hali duni ya maisha.

Majukumu ya Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa ujumla:-

  • Kushirikisha Jamii katika kubuni na kupanga miradi ya maendeleo
  • Kuhamasisha Jamii kuondokana na mila potofu zinazorudisha nyuma maendeleo ya Jamii kama vile mauaji ya Vikongwe, mauaji ya watu wenye Albinism, Ukeketaji wa Wanawake nk.
  • Kuhamasisha Uanzishaji na Usajili wa Vikundi vya Kiuchumi na Ujasiriamali
  • Kuhamasisha Jamii kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Sera, Programu na Mipango ya Sekta zote zinazohusika na Maendeleo ya Jamii kwa ujumla
  • Kueneza elimu ya uraia mwema
  • Kufanya uhakiki na ufuatiliaji kwa Vikundi vya Kiuchumi na Ujasiriamali
  • Kuhamasisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi
  • Kuhamasisha Wananchi kuwa na moyo wa kushiriki ipasavyo katika shughuli za Maendeleo kwa njia ya kujitolea.
  • Kuhamasisha Jamii hasa kundi la Vijana kuondokana na matumizi ya Madawa ya Kulevya.
  • Kuhamaisha Jamii kuwa na desturi ya kujiwekea akiba badala ya kutumia kipato chote ili kujiletea maendeleo na hivyo kuondokana na umasikini.
  • Kuwajengea uwezo wananchi kwa kuwapatia mafunzo, Ujuzi na Stadi mbalimbali za kazi.
  • Kuhamasisha wananchi kuwa na shughuli endelevu hasa za kujiajiri kwa ustawi kwa maisha yao.
  • Kuratibu na kusimamia Maadhimisho ya Siku za Kitaifa.
  • Kusikiliza na kutatua mashauri mbalimbali kama vile:-Mashauri ya ndoa, Ardhi nk.
  • Kuhamasisha uhifadhi na utunzaji wa Mazingira kama vile Upandaji wa Miti nk.
  • Kubaini Matatizo mbalimbali yanayokwamisha jitihada za kuleta maendeleo na kuyawekea Mikakati ya namna ya kuyakabili.
  • Kuwezesha Jamii kubadili mtazamo na fikra zisizo sahihi katika mgawanyo wa kazi, Majukumu na Rasilimali kwa kuwapa Wanawake furrsa ya kumiliki ardhi na mali zote ambazo wana haki nazo.
  • Kuhakikisha wananchi wanatumia Rasilimali walizonazo kwa usahihi kwa ajili ya shughuli za uzalishaji mali kama vile Kilimo, Ufugaji, Uvuvi nk.
  • Kuwezesha Jamii kuweka utaratibu mzuri wa kuhudumia Makundi maalumu yaliyopo katika Jamii kama vile Yatima, Wazee, Watu wenye Ulemavu, Watoto Waishio katika Mazingira Hatarishi nk.
  • Kuratibu na kusimamia Maendeleo ya Jinsia na Uingizaji wa masuala ya Jinsia katika Sera za Sekta mbalimbali.

Matangazo ya Kawaida

  • Nafasi za kazi Sengerema February 21, 2019
  • Taarifa kwa Umma October 09, 2018
  • Kupata Matokeo ya Kidato cha Nne 2018 Bofya hapa January 24, 2019
  • Ajira mpya kada ya Elimu Julai 2018 July 18, 2018
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Mhe. Naibu Waziri wa Ardhi Bi. Angelina Mabula amezitaka Halmashauri nchini kuzingatia taratibu za utunzaji wa kumbukumbu za mafaili katika masijala zake.

    February 18, 2019
  • Mhe. Mnwanizi aapishwa kuwa Diwani wa kata ya Nyampulukano kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi baada ya kupita bila kupigwa

    February 18, 2019
  • Baraza la Madiwani Halmashauri ya Sengerema limepitisha Bajeti ya bilioni 55 kwa ajili ya Mpango wa Bajeti 2019/2020

    February 15, 2019
  • Mkuu wa wilaya Sengerema azitaka Kamati za Majosho kulinda madawa yaliyotolewa na Serikali

    January 21, 2019
  • Ona vyote

Video

Mhe. Mnwanizi aliyekuwa Diwani kupitia CHADEMA Sengerema ahamia CCM
Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0754650558

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz or dedsengerema@ymail.com

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Hakimiliki@2018. Halmashauri ya Sengerema. Haki zote zimehifadhiwa