1. Mradi wa maboresho ya Maji Busisi
Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji Busisi unatekelezwa na mkandarasi STC Co. Ltd wa Dar es Salaam, lengo a mradi ni kutoa huduma kwa wakazi wapatao 3,500 katika maeneo ya Busisi, Mkomba na maene ya jirani.
Hali ya mradi mpaka sasa
2. Mradi wa Maji Chamabanda, Nyantakubwa na Kasungamile
Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji katika Kijiji cha Chamabanda, Nyantakubwa na Kasungamile unatekelezwa na mkandarasi Yell.Ltd wa Dar es Salaam, lengo a mradi ni kutoa huduma kwa wakazi wapatao 1,000 katika viijiji vya Chamabanda, Nyantakubwa na Kasungamile.
Hali ya mradi mpaka sasa
3. Mradi wa Maji Buyagu-Kalangalala-Bitoto
Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji katika Kijiji cha Buyagu, Kalangalala - Bitoto ukitekelezwa na mkandarasi D4N Co. Ltd wa Kahama, lengo a mradi ni kutoa huduma kwa wakazi wapatao 7,750 katika viijiji vya Buyagu, Kalangalala na Bitoto
Kazi zilizofanyika hadi sasa
Mkandarasi kwa sasa anaendelea na kazi ya ununuzi wa pampu ya kusukuma maji,ukamilishaji wa chanzo cha maji,uunganishaji wa vituo vya kuchotea maji pamoja na uwekaji wa umeme kwa ajili ya kuendeshea mtambo
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0754650558
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz or dedsengerema@ymail.com
Hakimiliki@2018. Halmashauri ya Sengerema. Haki zote zimehifadhiwa