Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema anawatangazia wananchi wote wa wilaya ya Sengerema kuwa siku ya tarehe 14/03/2018 kutakuwa na mkutano wa Baraza la Wahe. Madiwani utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema saa 3:00 asubuhi.
Hivyo mnataarifiwa kushiriki katika kusikiliza mjadala wa Wahe. Madiwani.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.