Wednesday 18th, September 2024
@Shule ya Msingi Bugumbikiso kata ya Chifunfu
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa Kampeni rasm ya Ujenzi wa vyumba vya Madarasa katika mkoa wa Mwanza yenye Lengo la kumaliza tatizo la upungufu wa vyumba vya madarasa katika shule zote ndani ya mkoa wa Mwanza hivyo wananchi waote mnaalikwa kushiriki kwa hali na mali ili kuwezesha kufanikisha kampeni hii ili sote kwa pamoja tuweze kuwasidia watoto wetu.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.