KUPATA LESSENI YA BIASHARA
HATUA ZA KUFUATA KUPATA LESSENI YA BIASHARA
1. Fika ofisi ya Biashara katika Halmashauri ili uweze kupewa ankara ya malipo ya Biashara yako.
2. Fanya malipo kupitia Benki ya NMB
3. Baada ya kufanya malipo wasilisha risti ya Benki ikiambatana na Tax Clearance Foam toka TRA
4. Wasilisha nyaraka hizo kwa Afisa Biashara ofisi ya Biashara.
5. Atakupatia lesseni yako
ASANTE NA KARIBU
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.