• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Tehama na Takwimu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Uhasibu
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasiri na Uhifadhi wa Mazingira
      • Taka ngumu na Usafishaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

IDARA IMEGAWANYIKA KATIKA MAENEO MAKUU MATATU:-

(i) Kitengo cha Kilimo

(ii)Kitengo cha Umwagiliaji

(iii) Kitengo cha Ushirika.

  • KITENGO CHA KILIMO

Eneo hili linajihusisha na Maendeleo ya kilimo cha mazao yote ikiwa ni pamoja na udhibiti wa magonjwa na visumbufu.

  • KITENGO CHA UMWAGILIAJI

Majukumu ya Kitengo cha Kilimo cha Umwagiliaji katika Halmashauri ya wilaya Sengerema ni kama ifutavyo:-

  • Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo
  • Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana za kilimo
  • Kushiriki kutengeneza Michoro/Ramani za Umwagiliaji wilayani
  • Kushiriki katika Ujenzi wa Miradi ya Umwagiliaji Wilayani
  • Kushirikiana na mafundi sanifu wa Umwagiliaji kuwafundisha wakulima uendeshaji wa skimu za Umwagiliaji
  • Kukusanya takwimu za Skimu za Umwagiliaji wilayani
  • Kushiriki kuratibu na kutoa huduma za umwagiliaji kwa vikundi vya Umwagiliaji pamoja na matumizi ya Maji
  • Kuandaa mafunzo/Maonyesho ya matumizi ya zana za kilimo
  • Kufuatilia program za mafunzo ya wanyama kazi, Mafundi wa Matrekta, na wakulima jinsi ya matumizi ya wanyama kazi na matrekta.
  • Kuwafundisha wakulima ujenzi wa Vihenge bora
  • Kushughulikia ubora wa zana na kuwashauri waagizaji na Matengenezo ipasavyo


  • KITENGO CHA USHIRIKA

Majukumu ya Kitengo cha Ushirika wilayani ni kama ifutavyo:-

Kitengo cha Ushirika hushughulika au hufanya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika Na 6 ya mwaka 2013 pamoja na Kanuni ya vyama vya Ushirika ya mwaka 2015

Aidha Kitengo cha Ushirika pia hufanya kazi kwa maelekezo kupitia Waraka mbalimbali zinazotolewa na Mrajis wa vyama vya Ushirika Tanzania Bara.

Kazi zinazofanywa na Kitengo cha Ushirka ni pamoja na:-

  • Ukaguzi /Uchunguzi wa hesabu za Vyama vya Ushika
  • Kuandaa taarifa za mapato na matumizi na kuziwasilisha kwa Bodi na kuwasomea wanachama katika Mikutano mikuu.
  • Kutoa Elimu ya ushirika katika makundi ya
  • a)Wanachama
  • b)Wajumbe wa Bodi
  • c) Watendaji - Mkatibu, Waweka Hazina na Wahasibu
  • Kusimamia na kuendeleza vyama vya ushirika
  • a) Kusimamia mikutano mikuu
  • b) Kusajili vyama kutokana na matakwa ya wanaohitaji Ushirika
  • Kutoa ushauri wa kisheria kuhusiana na shughuli za Kiushirika

Kitengo cha Ushirika ni sehemu ya Halmashauri ya Wilaya, Hutekeleza kazi zote ambazo Halmashauri hupaswa kuzitekeleza kwa manufaa ya wananchi na Halmashauri kwa ujumla

Afisa  kilimo na umwagiliaji akikagua shamba la pamba kijiji cha bitotoUpandaji wa zao la pamba katika shule ya sekondari  sengerema seminariKilimo cha zao la mahindi kijiji cha nyamasale

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA YA DEREVA II NA MTUNZA KUMBUKUMBU II November 11, 2022
  • Majina ya walioitwa kwenye Mafunzo ya Ukarani, Tehama na Usimamizi wa Maudhui katika Sensa ya Mwaka 2022 July 26, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili wa Kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja III, Katibu Muhtasi Daraja III na Dereva Daraja II July 05, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • WANANCHI SENGEREMA WATAKAKIWA KUTHAMINI MIRADI YA YA MAENDELEO

    March 24, 2023
  • SENGEREMA KUNUFAIKA NA SHULE MBILI MPYA KUPITIA SEQUIP NA BOOST

    March 22, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI SENGEREMA LAKOSHWA NA UKUSANYAJI WA MAPATO

    March 15, 2023
  • DC SENGEREMA AKEMEA MMOMONYOKO WA MAADILI

    March 08, 2023
  • Ona vyote

Video

RC ATOA SIKU NNE WAZAZI KUPELEKA WATOTO KIDATO CHA KWANZA
Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.