• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Tehama na Takwimu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Uhasibu
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasiri na Uhifadhi wa Mazingira
      • Taka ngumu na Usafishaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

CHITANDELE KUNUFAIKA NA NYUMBA ZA WALIMU KUPITIA TASAF

Posted on: January 27th, 2023

Shule shikizi ya Chitandele iliyopo kata ya Chifunfu imeanzisha ujenzi wa nyumba moja ya familia mbili (two in one) kwa ajili ya walimu wa shule Hiyo inayojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa kwa kushirikiana na wananchi waliopo kisiwani humo.


Akiongea na wananchi mara baada ya zoezi la uchimbaji wa msingi wa nyumba hiyo, Diwani wa kata ya Chifunfu mhe. Robert Madaha amewaomba wananchi hao kujitoa kikamilifu kwa kushiriki katika ujenzi wa nyumba hiyo kwa kuchangia nguvu kazi ili nyumba hiyo ukamilike kwa wakati na walimu waweze kuishi karibu na shule hiyo.


"Tumepata bahati ya kuletewa mradi huu wa nyumba katika eneo letu, ni jambo jema kwetu hatuna budi kujitolea kwa nguvu kazi ili tukamilishe kwa wakati.


Akiongea kwa niaba ya Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri, Ndugu Neema Sagwa amewapongeza wananchi hao kwa kujitolea nguvu kazi ambapo amesema kuongeza kwa miundombinu katika shule hiyo shikizi kutasaidia kupata vigezo kwa ajili ya kuisajili na kuwa shule kamili ya msingi hivyo amewaomba wazazi wa eneo hilo kuhakikisha wanaandikisha watoto wote waliofikisha umri wa kwenda shule.


Mratibu wa TASAF Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema ndugu Malisa  Ndugha amesema ujenzi wa nyumba hiyo unatarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi 68,760,943 fedha kutoka TASAF pamoja na nguvu za wananchi zinazokadiriwa kufikia shilingi milioni 6. Ndugu Malisa mesema ujenzi wa nyumba hiyo unatarajiwa kukamilika ifikapo Aprili 30, 2023 hivyo amewaomba wananchi hao pamoja na kamati ya ujenzi kuhakikisha wanatanguliza uzalendo kwanza katika shughuli za ujenzi wa nyumba hiyo.


Shule shikizi ya Chitandele ina jumla ya wanafunzi 100 wa darasa la awali hadi la nne, wanafunzi 13 wa darasa la tano hadi la saba waishio kisiwani humo hulazimika kwenda kusoma shule ya msingi Lukumbi iliyopo nje ya kisiwa hicho.


Kukamilika kwa nyumba hiyo kutaisadia shule hiyo shikizi  hiyo kuwa na nyumba 2 za walimu ambapo kwa sasa kuna nyumba moja ya mwalimu.


Kisiwa cha Chitandele kilichopo kijiji cha Lukumbi kata ya Chifunfu  kinakadiriwa kuwa kaya 76 na wakazi 300.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA YA DEREVA II NA MTUNZA KUMBUKUMBU II November 11, 2022
  • Majina ya walioitwa kwenye Mafunzo ya Ukarani, Tehama na Usimamizi wa Maudhui katika Sensa ya Mwaka 2022 July 26, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili wa Kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja III, Katibu Muhtasi Daraja III na Dereva Daraja II July 05, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • WANANCHI SENGEREMA WATAKAKIWA KUTHAMINI MIRADI YA YA MAENDELEO

    March 24, 2023
  • SENGEREMA KUNUFAIKA NA SHULE MBILI MPYA KUPITIA SEQUIP NA BOOST

    March 22, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI SENGEREMA LAKOSHWA NA UKUSANYAJI WA MAPATO

    March 15, 2023
  • DC SENGEREMA AKEMEA MMOMONYOKO WA MAADILI

    March 08, 2023
  • Ona vyote

Video

RC ATOA SIKU NNE WAZAZI KUPELEKA WATOTO KIDATO CHA KWANZA
Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.