Hayo yamesemwa katika kikao kazi kilichowakutanisha wadau hao na timu toka Mamlaka ya Hali ya Hewa, chini ya mradi wa kilifanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema, ambapo viongozi toka BMU na wajumbe mbalimbali wa shughuli za Uvuvi walipata fursa ya kushirikishana changamoto mbalimbali zinazowakumba hasa kutokana na athari za Mabadiriko ya Hali ya Hewa.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.