• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii Ndg. Charles Kiula akitoa msisitizo kwa walengwa wa mpango juu ya kujiunga na vikundi miongoni mwao alipotembelea zoezi la uhawilishaji fedha katika kijiji cha Mayuya kata ya Tabaruka wilayani Sengerema

Posted on: April 4th, 2017

Walengwa wanaonufaika na mpango wa TASAF kunusuru kaya masikini awamu ya tatu wametakiwa kuunda vikundi vya ujasiliamali ili kujikwamua na umasikini ili hata mpango huo utapomalizika wawe na uwezo wa kujitegemea na kuendeleza maisha yao ya kila siku.

Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii wilaya ya Sengerema Ndg. Charles Kiula alipokuwa katika kijiji cha Mayuya kata ya Tabaruka, alipotembelea kujionea shughuli za uhawilishaji fedha kwa walengwa wanaonufaika na mpango.

Amesema kuwa TASAF imewahimiza walengwa kuunda vikundi vya ujasiliamali ili waweze kujitegemea na vikundi hivyo vitaundwa kila eneo waliopo walengwa na vikundi vinavyotakiwa kuundwa ni pamoja; ufugaji wa kuku, bustani za mbogamboga na ufugaji wa mbuzi lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo wa kujitegemea bila kusubili msaada.

Ndg. Kiula amesema kuwa katika maeneo mbalimbali vikundi hivyo vimeanza kuundwa na wataalamu kutoka katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Sengerema wataanza zoezi la kutoa elimu ya mafunzo ya ujasiliamali kwa walengwa, kuanzia wiki ijayo na amewataka walengwa hao kujitokeza kwa wingi katika mafunzo hayo ili wapate elimu hiyo.

Frola Medadi ni mlengwa katika mpango wa kunusuru kaya masikini katika Kijiji cha Mayuya Kata ya Tabaruka Wilayani Sengerema ana familia ya watoto saba na mme wake wanapokea shilingi 36,000 lakini wameweza kujikwamua na umaskini kutokana na fedha hizo kwa kujenga nyumba moja ya bati ya vyumba vitatu na kuanzisha ufugaji wa kuku.  Pia wametumia nafasi hiyo kutoa pongeza kwa serikali juu ya mpango wake huu wa kunusuru kaya masikini kwani kwaoumekuwa mkombozi mkubwa na jamii nzima kwa ujumla kwani hali ya utegemezi imepungua sana.

Huku Ndg. Edwin Itamba ambaye ni kaimu Afisa Elimu Shule za msingi wilayani Sengerema amewataka walengwa wanaopata fedha kwa ajiri ya kusomesha watoto wazitumie kama zilivyokusudiwa ili watoto hao wapate elimu iliyobora kwa maisha yao ya baadaye.

Matangazo ya Kawaida

  • Tangazo la Nafasi za Kazi Sengerema May 25, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaidizi wa Kumbukumbu April 04, 2022
  • Nafasi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaididizi wa Kumbukumbu March 02, 2022
  • Mwananchi zitambue sitahiki zako kupitia mwongozo wa huduma kwa wateja ndani ya Halmashauri yako December 28, 2017
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Wilaya ya Sengerema azindua rasmi ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Buzilasoga

    June 04, 2022
  • Umoja wa wanawake wasomi katika Halmashauri ya Sengerema watoa msaada wa tauro za kike kwa wanafuzi wanaoshi katika mazingira magumu

    June 02, 2022
  • Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza atembelea na kukagua miradi mbaimbali ya Afya katika Halmshauri ya Sengerema

    May 28, 2022
  • Mhe Senyi Ngaga awaondoa hofu wananchi juu ya Chanjo ya Polio

    May 18, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.