• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Kaimu Mkurugenzi Ndg. Oscar Kapinga, akizungmza na wadau wa Elimu katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Sengerema Sekondari

Posted on: April 1st, 2017

Baadhi ya wazazi na walezi kutokuwa na uelewa juu ya dhana halisi ya Elimu Bure, hali hiyo imesababisha kushuka kwa ufaulu wa mitihani ya sekondari na shule za msingi kwa mwaka 2016 kwa asilimia 6 wilayani Sengerema.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema Ndg. Magesa Mafuru Boniphace, Oscar Kapinga kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari Sengerema   amewaomba   wazazi  waondokane na  mtazamo   kuwa elimu bure  ndiyo mwanya   mkubwa wa   wazazi    kutowanunulia  mahitaji muhimu ya shule watoto wao   kwani jambo hilo  linapelekea    watoto  wengi    kutohudhuliwa masomo ipasavyo na  kudidimia ufaulu kwa wanafunzi.

Kikao   hicho chenye  lengo   la kujadili  namna ya kuongeza  ufaulu kwa  wanafunzi wa shule za  msingi na sekondari Wilayani  Sengerema,      kimehudhuliwa  na  wadau  wa  elimu, maafisa elimu wa shule zote na wakuu wa shule za msingi na sekondari.

Katika hatua nyingine Kapinga amesema kutokana na hali ya ufaulu kwa mwaka 2016 kushuka kwa asilimia 6 , kikao  hicho   ana imani    kitasaidia   kuongeza     ufaulu  wa wanafunzi    kwa kiwango kikubwa  kutokanana   na   changamoto mbalimbali zilizokuwa  zikikwamisha    ufaulu  kwa  wanafunzi kujadiliwa.

Matangazo ya Kawaida

  • Tangazo la Nafasi za Kazi Sengerema May 25, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaidizi wa Kumbukumbu April 04, 2022
  • Nafasi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaididizi wa Kumbukumbu March 02, 2022
  • Mwananchi zitambue sitahiki zako kupitia mwongozo wa huduma kwa wateja ndani ya Halmashauri yako December 28, 2017
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Wilaya ya Sengerema azindua rasmi ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Buzilasoga

    June 04, 2022
  • Umoja wa wanawake wasomi katika Halmashauri ya Sengerema watoa msaada wa tauro za kike kwa wanafuzi wanaoshi katika mazingira magumu

    June 02, 2022
  • Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza atembelea na kukagua miradi mbaimbali ya Afya katika Halmshauri ya Sengerema

    May 28, 2022
  • Mhe Senyi Ngaga awaondoa hofu wananchi juu ya Chanjo ya Polio

    May 18, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.