• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mhe. Waziri Mkuu akitazama baadhi ya bidhaa zilizokwisha kuongezewa thamani katika kiwanda (Dotto Posh Mills) katika Halmashauri ya Sengerema mda mfupi baada ya kukizindua

Posted on: February 15th, 2018

Akiwa katika kiwanda hicho mara baada ya uzinduzi Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemshukuru mmiliki wa kiwanda hicho kwa kuonyesha dhahiri kuunga jitihada za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kuhakikisha Tanzania inakuwa katika uchumi wa viwanda. Huku akiwataka wananchi wa Sengerema na watanzania wote kuunga jitihada alizofanya mtanzania mwenzao kwa kununua bidhaa zinazopatikana au kutoka katika kiwanda hicho. 

Pia amewataka wananchi kuwa walinzi na wasimamizi wazuri wa rasilimali za Taifa hasa zinazotolewa na Serikali kama vile madawa, ikiwa ni pamoja na kuwataka Madaktari wote wakuu katika Halmashauri zote kuhakikisha wanasimamia upatikanaji wa dawa mda wote katika hospital zao kwani Serikali inatoa fedha nyingi katika kuhakikisha watanzania wote wanapata huduma bora. 

Mwisho amewataka watumishi katika halmashauri zote mbili za Buchosa na Sengerema kufanya kazi kwa weledi mkubwa ili kuleta tija kwa wananchi wote wa Sengerema.

Matangazo ya Kawaida

  • Majina ya walioitwa kwenye Mafunzo ya Ukarani, Tehama na Usimamizi wa Maudhui katika Sensa ya Mwaka 2022 July 26, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili wa Kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja III, Katibu Muhtasi Daraja III na Dereva Daraja II July 05, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Sengerema May 25, 2022
  • Mwananchi zitambue sitahiki zako kupitia mwongozo wa huduma kwa wateja ndani ya Halmashauri yako December 28, 2017
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa akiri ubora wa Miradi ya Maendeleo Sengerema

    July 19, 2022
  • Sengerema kuondokana na kadhia ya Umeme ifikapo Octoba 2022

    July 14, 2022
  • Mkuu wa Wilaya ya Sengerema azindua rasmi ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Buzilasoga

    June 04, 2022
  • Umoja wa wanawake wasomi katika Halmashauri ya Sengerema watoa msaada wa tauro za kike kwa wanafuzi wanaoshi katika mazingira magumu

    June 02, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.