• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mhe. Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI ahahidi kutoa zaidi ya milioni 500 kwa ajili ya miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya Sengerema

Posted on: August 14th, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu ametoa ahadi hiyo katika Halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza alipokuwa katika ziara maalumu ya kikazi katika Halmashauri ya Sengerema yenye lengo la kujionea utekezaji wa miradi ya maendeleo inayosimamiwa na wizara yake.

Akiwa katika ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Sengerema Mhe. Ummy Mwalimu ameipongeza yimu ya menejiment kwa namna ambavyo imeweza kusimamia vizuri miradi hiyo.

Ndipo alipotoa ahadi ya zaidi ya shilingi million 500 ikiwa ni kwa ajili ya uanzishaji wa ujenzi wa wodi pamoja na theatre katika kituo cha Afya Kamanga na ukamilishaji wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Kachuo katika kata ya Nyamatongo.

Pia ujenzi wa maabara mbili ya Chemistry pamoja na Biology, ujenzi wa mabweni mawili la wavulana pamoja la wasichana pia msaada wa vitabu katika shule ya Sekondari Bugumbikiso kata ya Chifunfu.

Na mwisho ameahidi ujenzi wa vyumba vya madarasa pamoja na ukamilishaji wa Zahanati ya Isome katika kata ya Busilasoga.

Akitoa neno la shukrani kwa niaba ya watumishi na wafanyakazi wote katika Halmashauri ya Sengerema alisema, “sisi kama watendaji wakuu na wafanyakazi wa Halmashauri ya Sengerema tunakuahidi usimamizi uliotukuka na nidhamu ya hali ya juu katika fedha zote utakazo leta kwa ajili ya miradi ya maendeleo”

Matangazo ya Kawaida

  • Nafasi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaididizi wa Kumbukumbu March 02, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaidizi wa Kumbukumbu April 04, 2022
  • Kuitwa kwenye usaili wa Kazi ya Mtendaji wa Kijiji III October 21, 2021
  • Tangazo la Nafasi za Kazi ya Mtendaji wa Kijiji III August 24, 2021
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Wataalamu ngazi ya Kata na Kijiji wapigwa msasa juu ya Mfumo wa Anuani za Makazi

    March 29, 2022
  • Timu ya Wataalamu yatembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Halmashauri

    March 28, 2022
  • Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula azindua Baraza la Ardhi na Nyumba Sengerema

    March 22, 2022
  • Kamati ya Siasa Mkoa yalidhishwa na usimamizi wa Miradi ya Maendeleo

    March 19, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.