• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mhe. Zungu akipa hadhi Kikundi cha Wajasiliamali kuwa Barozi wa Mzingira Sengerema

Posted on: March 5th, 2020

Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu alifikia  uamuzi huo baada ya kutembelea kikundi hicho kinachojishughulisha na uzalishaji wa miche mbalimbali kwa ajili ya utunzaji wa mazingira. 

Huku dhamira yao kubwa ikiwa ni kujipatia kipato lakini kuona jamii ya Sengerema inakuwa katika hali nzuri katika utunzaji wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha leo na kesho; ndipo Mhe. Waziri alipofurahishwa na kukitangaza rasmi kuanzia siku huyo kuwa Barozi wa Mzingira na kuagiza taratibu zingine zifanyike haraka ikiwa ni pamoja na kuwapatia cheti rasmi cha utambulisho.

Katika hatua nyingine Mhe Zungu alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayosimamiwa na Halmashauri ya Sengerema kama vile uhifadhi wa msitu wa asili pamoja na ufugaji wa Nyuki katika msitu huo, akipokea taarifa hiyo ameupongeza uongozi wa Halmashauri kwa kazi nzuri wanayoifanya.


Matangazo ya Kawaida

  • Nafasi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaididizi wa Kumbukumbu March 02, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaidizi wa Kumbukumbu April 04, 2022
  • Kuitwa kwenye usaili wa Kazi ya Mtendaji wa Kijiji III October 21, 2021
  • Tangazo la Nafasi za Kazi ya Mtendaji wa Kijiji III August 24, 2021
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Wataalamu ngazi ya Kata na Kijiji wapigwa msasa juu ya Mfumo wa Anuani za Makazi

    March 29, 2022
  • Timu ya Wataalamu yatembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Halmashauri

    March 28, 2022
  • Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula azindua Baraza la Ardhi na Nyumba Sengerema

    March 22, 2022
  • Kamati ya Siasa Mkoa yalidhishwa na usimamizi wa Miradi ya Maendeleo

    March 19, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.