• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Tehama na Takwimu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Uhasibu
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasiri na Uhifadhi wa Mazingira
      • Taka ngumu na Usafishaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

SENGEREMA KUNUFAIKA NA BARABARA YA LAMI NA KIVUKO KIPYA

Posted on: April 23rd, 2023

Wakazi Sengerema mkoani Mwanza watanufaika na ujenzi wa Barabara ya lami kutoka Sengerema hadi Nyehunge yenye urefu wa kilomita 54.4 na ujenzi wa Kivuko kipya kitakachounganisha wakazi wa Buyagu Wilayani Sengerema na Mbalika wilayani Misungwi.


Hayo yamebainishwa leo mjini Sengerema wakati wa Hafla ya utiaji saini kati Serikali na  kampuni ya AVM-Dilingham ya nchini Uturuki itakayojenga Barabara hiyo kwa gharama ya shilingi 73.04 bilioni kwa muda wa miezi 28 na ujenzi wa kivuko kipya cha Buyagu-Mbalika kwa gharama ya shilingi 3,817,064,000 kitakachojengwa na kampuni ya Songoro Marine kwa muda wa miezi 10.


Akizungumza wakati wa Hafla ya Utiaji saini, Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Godfrey Kasekenya amewataka wananchi wanaozunguka Barabara hiyo kuepuka vitendo vya uhalifu wa namna yoyote kwa vifaa vya ujenzi nabadala yake amewataka wavilinde.


Mkurugenzi Mtendaji wa Tanroad, Rogatus Mativila amesema kukamilika kwa ujenzi wa Barabara hiyo kutachochea shughuli za mbalimbali za kiuchumi  na itaunganisha mikoa ya kanda ya ziwa hivyo.


“Kukamilika kwa Barabara hii kutachochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi kama vile usafirishaji wa mazao ya misitu, mazao ya chakula, mazao ya uvuvi pamoja na mazao ya biashara na shughuli zingine za kijamii" amesema mtendaji mkuu wa TANROAD.


Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Lazaro Kilahala amesema kukamilika kwa ujenzi wa kivuko cha Buyagu-Mbalika kutataondoa kero nyingi za kiuchumi na kijamii kwa wananchi wa maeneo hayo hivyo kukamilika kwake kutasaidia shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii.


Mbunge wa jimbo la Sengerema, Mhe. Hamis Tabasamu amesema kujengwa kwa barabara hiyo kutasaidia kuleta fursa nyingi kwa wakazi wa Sengerema na Buchosa hivyo amewataka wananchi wa Sengerema kuhakikisha wanailinda vyema miundombinu ya Barabara hiyo pamoja vifaa vya ujenzi.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI July 28, 2023
  • TANGAZO KWA WAMILIKI WA MAENEO ENEO LA STENDI MPYA SENGEREMA July 27, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • Majina ya walioitwa kwenye Mafunzo ya Ukarani, Tehama na Usimamizi wa Maudhui katika Sensa ya Mwaka 2022 July 26, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • MGODI WA NYANZAGA WAKAMILISHA UJENZI WA MADARASA NA OFISI SEKONDARI MPYA LUBUNGO

    September 27, 2023
  • WAKULIMA KATUNGURU MBIONI KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI

    September 20, 2023
  • MIZUNGUKO YA WAVUVI CHANZO CHA MAAMBUKIZI VVU

    September 01, 2023
  • BOOST YAKAMILISHA SHULE MPYA BUGUMBIKISO

    September 01, 2023
  • Ona vyote

Video

MAPOKEZI YA MHE. BITEKO SENGEREMA
Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.