• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Sengerema yapata Mradi wa Huduma za Matibabu ya Mtoto kwa njia ya Uwiano toka Shirika la PATH

Posted on: May 31st, 2021

Akizungumza ndani ya kikao cha uzinduzi kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo FDC Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Mwanza Bw. Emily Kasaga amesema kuwa “Mkoa wa mwanza ni mojawapo ya mikoa ya kanda ya ziwa yenye vifo vingi vya watoto wachanga ambapo mwaka 2020 Mkoa ulikuwa na jumla ya vifo 837 sawa na vifo 6 Kati ya vizazi hai 1000”

Hayo  yameelezwa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa mwanza Emili Kasaga wakati wa uzinduzi wa mpango wa matibabu kwa njia ya uwiano kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano uliofanyika Wilayani Sengerema Mkoa wa mwanza.

Pia amesema kuwa vifo  vya watoto 67 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa bado hai na vifo 43 vya watoto wachanga wanaozaliwa wakiwa hai bado ni vingi huku Mkoa wa mwanza ukitajwa kuwa na vifo vingi zaidi, Kati ya vifo hivyo vya watoto wachanga 118 (0-28) sawa vifo 5 Kati ya vizazi 1000 vilitokea Halmashauri ya Sengerema.

Brandina Hezron Msaidizi mratibu wa Afya ya mama na mtoto wilaya ya Sengerema amesema sababu ya vifo vya watoto hao ni kuwa na uzito pungufu, kushindwa kupumua na uambukizo wa magonjwa mbalimbali.

Mwakilishi mkazi wa Shirika lisilolakiserikali la PATH nchi Tanzania Amos Mugisha amesema kutokana na vifo vingi vya watoto Wilayani Sengerema Shirika hilo likishirikiana na Serikali limekuja na mpango wa kukabiliana na changamoto hiyo.

Mradi huyo utafanyika kwenye Vituo vya afya vitano, na zahanati 29 ambapo wametoa vifaa vya utambuzi wa oxjen kwa mtoto pamojana vifaa vya utambuzi wa ndani ya mtoto.

Mganga mkuu wa Mkoa wa mwanza Thomas Ruta amesema mradi huu wameupokea kwa mikoano miwili na utatekezwa kwa ufanisi mkubwa ili kuokoa vifo vya mama na mtoto.

Nae Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema Salim Ally, akitoa neno la shukurani amesema kuwa yeye kama msimamizi wa mkuu atahakikisha mradi huu wa utoaji wa huduma ya matibabu kwa watoto kwa njia ya uwiano unafikia malengo hivyo kila mmoja katika maeneo yake ya kazi ajitahidi kuhakikisha anatimiza wajibu wake hasa katika vituo vya afya pamoja na zahanati zinazopatikana katika wilaya ya Sengerema.

Pia amewashukuru viongozi toka shirika la PATH kwa jinsi walivyoguswa na changamoto ya vifo vya watoto na kuja na mpango wa kunusuru vifo vya watoto kupitia mpango wao wa matibabu kwa njia ya uwiano.

Matangazo ya Kawaida

  • Nafasi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaididizi wa Kumbukumbu March 02, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaidizi wa Kumbukumbu April 04, 2022
  • Kuitwa kwenye usaili wa Kazi ya Mtendaji wa Kijiji III October 21, 2021
  • Tangazo la Nafasi za Kazi ya Mtendaji wa Kijiji III August 24, 2021
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Wataalamu ngazi ya Kata na Kijiji wapigwa msasa juu ya Mfumo wa Anuani za Makazi

    March 29, 2022
  • Timu ya Wataalamu yatembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Halmashauri

    March 28, 2022
  • Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula azindua Baraza la Ardhi na Nyumba Sengerema

    March 22, 2022
  • Kamati ya Siasa Mkoa yalidhishwa na usimamizi wa Miradi ya Maendeleo

    March 19, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.