• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Shirika la ORECORP lakabidhi Mabati 138 Shule ya Msingi Igalula

Posted on: December 30th, 2017

Mabati hayo yenye thamani ya shilingi milioni tatu laki nane na hamsini elfu yamekabidhiwa katika shule ya Msingi Igalula iliyopo katika kijiji cha Lubungo wilayani Sengerema mkoani Mwanza .

Akikabidhi mabati hayo Afisa Mahusiano wa shirika hilo linalojishughulisha na shughuli za utafiti na uchimbaji wa madini katika mgodi wa Nyanzaga, Bwn. John Bwana amewapongeza wananchi kwa ushirikiano pamoja na jitihada wanazozionyesha katika shughuli za maendeleo kwa kukamilisha ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa, “kitu ambacho kimetugusa nakuona nasi tusaidie jitihada hizo za wananchi” amesema Bwn. John Bwana.

Kwa upande wake diwani wa kata ya Igalula Mh,Onesmo Mussa Mashili ameishukuru kampuni hiyo na kutoa agizo kwa wananchi na viongozi kuwa isitokee mabadiliko yoyote ya matumizi katika misaada hiyo iliyotolewa.

Hata hivyo Afisa Elimu msingi Bwn. Pius Lwamimi kwa niaba ya Mkurugezi Mtendaji wa wilaya ya Sengerema ameishukuru kampuni hiyo kwa misaada wanayoitoa katika miradi ya maendeleo .

Bwn. John ameongeza kuwa lengo lakutoa msaada huo na kampuni yake ni kuhakikisha ujenzi huo wa madarasa ifikapo mwezi wa kwanza uwe umekamilika ili watoto wapate mazingira rafiki ya kusoma na kujifunzia.

Matangazo ya Kawaida

  • Majina ya walioitwa kwenye Mafunzo ya Ukarani, Tehama na Usimamizi wa Maudhui katika Sensa ya Mwaka 2022 July 26, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili wa Kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja III, Katibu Muhtasi Daraja III na Dereva Daraja II July 05, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Sengerema May 25, 2022
  • Mwananchi zitambue sitahiki zako kupitia mwongozo wa huduma kwa wateja ndani ya Halmashauri yako December 28, 2017
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa akiri ubora wa Miradi ya Maendeleo Sengerema

    July 19, 2022
  • Sengerema kuondokana na kadhia ya Umeme ifikapo Octoba 2022

    July 14, 2022
  • Mkuu wa Wilaya ya Sengerema azindua rasmi ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Buzilasoga

    June 04, 2022
  • Umoja wa wanawake wasomi katika Halmashauri ya Sengerema watoa msaada wa tauro za kike kwa wanafuzi wanaoshi katika mazingira magumu

    June 02, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.