• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Tatizo la usafi sasa basi katika Halmashauri ya Sengerema

Posted on: July 19th, 2017

Mji wa Sengerema na viunga vyake  limepata ufumbuzi wa kudumu kutokana na kamapuni ya STUMARCOT CO LTD ya jijini mwanza kuingia mkataba wa mwaka mmoja na Halimashauri ya Sengerema kwa kuzoa taka na kuhakikisha mji unakuwa katika mazingira safi muda wote.

Meneja maradi wa kampuni hiyo Flavinian Kassange amesema kuwa kampuni yao imeingia mkataba na halimashauri ya Sengerema kwa kufanya usafi katika mji huo ili kuhakikisha unakuwa safi na zoezi hilo limeanza kutekelezwa kuanzia Julay 13 mwaka huu.

Amesema kampuni hiyo imejipanga na kujidhatiti katika swala zima la ufasi wa mazingira ya mji, na kuiomba jamii nzima ya Sengerema kutoa ushirikiano wa kutosha katika swala zima la usafi ili kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama ili kuepuka magonjwa yamlipuko hasa kipindupindu ambayo yanatokana na swala zima la uchafuzi wa mazingira.

Kassange amesema watu walioingia nao mkataba katika kufanya usafi niwale waliokuwa wanafanya kazi hizo na Halimashauri ya Sengerema hivyo matumaini yake ni kuona wanafanya kazi kwa weredi kutokana na ukweli kuwa mazingira yote mji wanayafahamu na wao kama kampuni watawajibika kuwalipastahiki zao kutokana na mikataba yao.

Nae mkuu wa idara ya  Mazingira na Usafishaji Ndg. Salim A. Sallim amewaomba wananchi wa Sengerema kutotupa taka ovyo na badara yake wanatakiwa waziweka katika sehemu maalumu ambazo kuna vizimba ili iwe rahisi kwa watu wanaofanya usafi kuzikusanya na kuzipekeleka mahali husika.

Baadhi ya wananchi wa Sengerema wakitoa maoni yao juu ya swala zima la usafi wamesema kuwa ujio wa kampuni hii utasaidia kupunguza swala la uchafu katika mji wa Sengerema na tunatarajia mafanikio makubwa kwani kasi ya ufanyaji usafi wa kampuni hii ni wa hali ya juu kwani ndani ya mda huu mfupi mafanikio yanaonekana wazi.

Matangazo ya Kawaida

  • Nafasi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaididizi wa Kumbukumbu March 02, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaidizi wa Kumbukumbu April 04, 2022
  • Kuitwa kwenye usaili wa Kazi ya Mtendaji wa Kijiji III October 21, 2021
  • Tangazo la Nafasi za Kazi ya Mtendaji wa Kijiji III August 24, 2021
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Wataalamu ngazi ya Kata na Kijiji wapigwa msasa juu ya Mfumo wa Anuani za Makazi

    March 29, 2022
  • Timu ya Wataalamu yatembelea Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Halmashauri

    March 28, 2022
  • Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula azindua Baraza la Ardhi na Nyumba Sengerema

    March 22, 2022
  • Kamati ya Siasa Mkoa yalidhishwa na usimamizi wa Miradi ya Maendeleo

    March 19, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.