• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa awaonya watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea alipofanya ziara katika Halmashauri ya Sengerema

Posted on: December 19th, 2017

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Said Jaffo ametoa onyo hilo alipofanya ziara katika Halmashauri ya Sengerema, alipokuwa akizungumza na wananchi katika ukumbi wa halmashauri.

Mhe.waziri ameyasema hayo mara baada ya kutembelea mradi wa Maji Buyagu, na kumwagiza mhandisi wa maji wilaya ya sengerema Ndg. Nicas Ligombi ifikapo 30 Feburuari 2018 mradi huo uwe umekwisha na yeye mwenyewe  atarudi kuja kufanya ufatiliaji huku akisema ikitokea mradi huo hautoi maji basi Mhandisi atafute mahali pa kwenda. amesema “haiwezekani mradi toka 2014 mpaka leo maji hakuna”

Huku akiwataka watumishi wote kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na miongozo ya majukumu yao, pia kuachanan na tabia ya kufanya kazi kwa mazoea kwani kwa kufanya hivyo kunapunguza ufanisi na tija katika kuwaletea maendeleo wananchi na taifa kwa ujumla.

Pia amewaagiza watumishi wote nchini kuwa na mipango mikakati na malengo ya kujipima katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku, kwani kwa kufanya hivyo kutaongeza ufanizi katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku na amewaomba wakuu wa idara kubadirika na kuacha kujifanya miungu mtu katika idara zao, ikiwa ni pamoja kuzingatia usawa kwa watumishi wote waliochini yao.

Huku akisisitiza upendo na amani mahala pa kazi ni jambo la mhimu hivyo viongozi wote muwe mfano katika kufanya sehemu zetu za kazi zinakuwa mahala salama ili watumishi wetu wafanye kazi wakiwa na utulivu wa akili na amani mioyoni mwao, kwa anaamini bili utulivu wa aikili nafsini ni ngumu kuwa na ufanisi katika majukumu ya kila siku.

Nae katibu Tawala wilaya ya sengerema Ndg. Agustin Allan, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya amemshukuru Mhe. Waziri na kumwahidi kuwa watazingatia yale yote aliyowaasa na kuyafanyia.

Matangazo ya Kawaida

  • Tangazo la Nafasi za Kazi Sengerema May 25, 2022
  • Tangazo la Usaili nafasi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaidizi wa Kumbukumbu April 04, 2022
  • Nafasi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Msaididizi wa Kumbukumbu March 02, 2022
  • Mwananchi zitambue sitahiki zako kupitia mwongozo wa huduma kwa wateja ndani ya Halmashauri yako December 28, 2017
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Wilaya ya Sengerema azindua rasmi ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Buzilasoga

    June 04, 2022
  • Umoja wa wanawake wasomi katika Halmashauri ya Sengerema watoa msaada wa tauro za kike kwa wanafuzi wanaoshi katika mazingira magumu

    June 02, 2022
  • Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza atembelea na kukagua miradi mbaimbali ya Afya katika Halmshauri ya Sengerema

    May 28, 2022
  • Mhe Senyi Ngaga awaondoa hofu wananchi juu ya Chanjo ya Polio

    May 18, 2022
  • Ona vyote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.