Posted on: May 15th, 2019
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Mzee Mkongea Ally, ameipongeza Miradi ya Maji ambayo ni Upanuzi na ukarabati wa chazo Maji Busisi pamoja na maendelezo ya mradi wa Kisma kirefu Nyamasale.
...
Posted on: March 15th, 2019
Jumla ya watoto wenye ulemavu 55 wametajwa kushindwa kupata Elimu kutokana na wazazi kutowapeleka shule katika Kata ya Chifufu wilayani Sengerema Mkoani Wwanza.
Hayo yamebainishwa na &nbs...
Posted on: February 18th, 2019
Ameyatoa maelekezo hayo alipofanya ziara katika Halmashauri ya Sengerema tarehe 15/02/2019, ikiwa ni ziara ya kawaida ya kikazi. Mhe. Angelina amesisitiza utunzaji mzuri wa kumbukumbu utasaidia kupung...