Ufugaji nyuki ni kati ya kazi za kiuchumi zinazofanywa na watu wa Wilaya ya Sengerema. Kazi ya ufugaji Nyuki hufanywa na watu binafsi, vikundi vya kijamii (CBO’s), taasisi (NGO,s) na taasisi za umma kama vile mashule.
UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NYUKI
Halmashauri kwa kushirikiana na wadau mbalimbali inaendelea kutoa elimu pamoja na Mbinu mbalimbali katika ufuganyi Nyuki ilikupata mazao yaliyo bora kulingana na Ghali ya Soko la bidhaa asili ndani na nje ya nchi.
Kwa kuzingatia kanuni bora na baadhi ya Miungozo kutoka katika Taasisi mbalimbali Kitengo cha Nyuki kina kabiliwa na changamoto mabambali kama ifuatavyo
Mkakati wa kuendeleza sekta ya ufugaji wa nyuki.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.